Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Nishato Mbana.....huyu bwana alikua Mzambia.. Ilikuaga ni shangwe hapo assembly mwalimu mkuu akiita jina lake!!
 
msomar mmoja hvi pande za pro, ilikuwa ni shida Sana
 
BAHARIA WAZIRI jaamaa alikuwa NOMA SANA enzi zetu TOSAMAGANGA HIGH SCHOOL 1984
 
Semeni Shamba...tanga technical hiyo...jina lake lilikuwa likitajwa tukiwa kwenye paredi basi shule nzima tunaitikia ''shaambaaaaaaaaa''
 
Andika Nitoroke...huyu kuna siku alikamatwa na polisi sasa wakati anafunguliwa jalada polisi akamuuliza unaitwa nani..jamaa akajibu :Andika Nitoroke.....hivyo virungu vilivyofata hapo mpaka polisi wanakuja kujua ndo anavyoitwa hivyo...too late..
 
Tabu Masikini Kazima Secondary School miaka ya 1985 mpaka 1989
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…