Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Mwanasesere. Tulisoma wote pale Kibangu english medium. Miaka ya 96 to 2002
 
Nilisoma na jamaa darasa la pili alikuwa anaitwa DUDU! Huyu jamaa hatukuwa tunahangaika kumtafuta wa mwisho darasani kipindi cha mitihani. Alikuwa ni DUDU kweli. Darasa la tatu kulikuwa na jamaa anaitwa JALALA
 
Ndyo ni Tosamaganga Economic 1 alikuwa ananikubar mziki wangu
Hahaha na yeye akija hapa atasema ulikuwa unaukubali mziki wake.

Alikuwa anakaa azimio room no 47 flow ya pili.
 
Chausiku Juma, Cheusi James, Kibatali Gona, Nyangodi Julius, Taghamba Mura,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…