NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 999
Buti chuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kuchauka Bora Kupata. Nilisomanae O level huyu jamaa. Advance nikakutana na kichwa cha Nyanda za juu kinaitwa P...mbu,tukazoea kumuita Mr. P. Sasa kituko chake huyu jamaa alikuwa hataki jina lake likatishwe hasa na waalimu hivyo ilikuwa Mwl akija class na kuita Mr. P haitiki wala hanyanyuki na akiulizwa anamjibu Mwl hilo sio jina langu niite jina langu halisi wazazi wangu walionipa sio wajinga. Alikuwa na matata kweli kweli.
Amani kisengeTupia hapa nasi tuongeze siku kwa kucheka
Maharage t maharageTupia hapa nasi tuongeze siku kwa kucheka