mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Tukae msosi mwembetogwa secondary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaKuchauka Bora Kupata. Nilisomanae O level huyu jamaa. Advance nikakutana na kichwa cha Nyanda za juu kinaitwa P...mbu,tukazoea kumuita Mr. P. Sasa kituko chake huyu jamaa alikuwa hataki jina lake likatishwe hasa na waalimu hivyo ilikuwa Mwl akija class na kuita Mr. P haitiki wala hanyanyuki na akiulizwa anamjibu Mwl hilo sio jina langu niite jina langu halisi wazazi wangu walionipa sio wajinga. Alikuwa na matata kweli kweli.
Msimu Manyege - IRDP Dodoma
Yaani jina la mtu unapata ban? Hilo jina sasa wanamwita kweli huko nyumbani na mtaani kwake?Naogopa kutaja nisijepata ban
Tupia hapa nasi tuongeze siku kwa kucheka
Sikitu hasara form six 2008 ifakara girls
Tupia hapa nasi tuongeze siku kwa kucheka