Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Kuchauka Bora Kupata. Nilisomanae O level huyu jamaa. Advance nikakutana na kichwa cha Nyanda za juu kinaitwa P...mbu,tukazoea kumuita Mr. P. Sasa kituko chake huyu jamaa alikuwa hataki jina lake likatishwe hasa na waalimu hivyo ilikuwa Mwl akija class na kuita Mr. P haitiki wala hanyanyuki na akiulizwa anamjibu Mwl hilo sio jina langu niite jina langu halisi wazazi wangu walionipa sio wajinga. Alikuwa na matata kweli kweli.
Hahahaa
 
John Pombe Magufuli

Tulisoma wote Street University (SU)
 
1. Aleluya Tyetyetye ( secondary)
2. Kadudu Kichwa (primary) huyu siku hizi kabadili jina anatumia la ubatizo
 
Back
Top Bottom