Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Tuliondoka tech ugomvi ukiwa bado unaendelea sijui kwa sasa ila wakati namaliza shule tayari songe ilikuwa kwenye mchakato wa kuwa shule ya wasichana pekee.
Ninyi mbuzi wa Tech mlitusumbua pale Songe aisee ,nilisoma Songe robo term form one 2002 nikajiondokea kwenda Mwembeni Sec .Nakukumbuka kila mpira ukichezwa lazima kupigana, nakumbuka kuna jamaa wa Tech alijigonga kwenye mti wakt anakimbia akafariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…