MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Dhambi zako ni nyingi sana wewe!Ambinukie Mwakavuzi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhambi zako ni nyingi sana wewe!Ambinukie Mwakavuzi..
Weh!jabimba matombano
Mh!Hamza Chitombadada.
What!?Kifiro Mwanjale
Ninyi mbuzi wa Tech mlitusumbua pale Songe aisee ,nilisoma Songe robo term form one 2002 nikajiondokea kwenda Mwembeni Sec .Nakukumbuka kila mpira ukichezwa lazima kupigana, nakumbuka kuna jamaa wa Tech alijigonga kwenye mti wakt anakimbia akafariki.Tuliondoka tech ugomvi ukiwa bado unaendelea sijui kwa sasa ila wakati namaliza shule tayari songe ilikuwa kwenye mchakato wa kuwa shule ya wasichana pekee.
... Peremena!Tupia hapa nasi tuongeze siku kwa kucheka