babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
BIG SHUU, jamaa alikuwa kapanda hewan halafu aktembea mikono anaikunja kama anaendesha gari, hyo n kahama john paul ii high school form six 2008.
Ng'waya,Mwenge sec 2004
Ngoja nimalize kucheka kwanza. Dah!
Ni kweli au mengine yametungwa?
Mandingo Pumbuje.
Kingunge Ngombale Mwiru, classmate wangu primary
Hahaa...pale Rwamlimi sio....LoL...
Back to ze topic...
Nawakumbuka wafuatao ambao majina yao yaliniacha hoooi...
Mkatomboka Kiwara na Mpeka Mbolile pale Kilimanjaro Primary School