Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

lwitiko malangu(st anthony sec mbagala 1990)
 
Emili kambo rokangu , mwenge sec, tambuka reli primary manyoni nlisoma, na marta koniyang
 
Hahaa...pale Rwamlimi sio....LoL...

Back to ze topic...

Nawakumbuka wafuatao ambao majina yao yaliniacha hoooi...

Mkatomboka Kiwara na Mpeka Mbolile pale Kilimanjaro Primary School

Wale waloko waliokuwa wanachukua maji Nyarusurya halafu wanawaletea muoshee MiGi?
 
sadati a.k.a mbushifish na sanke ikuti primary school mbeya 1994-5-6
 
Back
Top Bottom