Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Duuu namkumbuka demu alikuwa mbele yangu alikua anaitwa kisimi miaka 1999
 
Richard Nyombe, Msegu Mselemo, Cheka Chamgosi, Stella Ngozingozi, Mkatomboka Gwacha.
 
Tupia hapa nasi tuongeze siku kwa kucheka

Mimi Nawakumbuka Sana Classmates Wangu Akina Idi Amin, Hitler, De Clerk, Saddam Hussein, Osama Bin Laden Na Ramadhan Ighondu. Nikikumbuka Enzi Zetu Nawaza Mengi Ila Hao Ndiyo Classmates Wangu Na Nilitaka Kuwasahau Na Hawa Pia Habinder Seth Na James Rugemalira Nao Pia Ni Classmates Zangu.
 
Back
Top Bottom