Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Peter Abaibey [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tulikua tunamuita "Aaaah Babyyy" alikua hapendi ila ndo hivo tena!
 
kuna mwingine anaitwa CHEZAM PILLA... siku moja ticha mgeni akamuuliza jina lako nani!? ulikuwa ugomvi ticha akajua jamaa anamkejeli
 
Back
Top Bottom