Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Mshamu kigona-ubungo sec chool,Sostenece Polepole aka Father chimwemwe
 
Majuto mlaganile [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzee ole.
 
Mocherege Mongate mwenyewekipindi hicho skuli hutaka aitwe brother K[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Subiraga mwaisage[emoji3],Edwadina Edward[emoji3],Maxmiliana miali[emoji23],Devota mabuga aka Ovopo mabobo[emoji16][emoji3],Hamisi Gard aka Kujiviza visa[emoji23],Mande abdala[emoji23],Fatuma saidi[emoji16],Mtumwa ramadhani,saumu Hanisi[emoji3],kuna mdada alikua ana ng'ata na kuparua makucha [emoji16][emoji16][emoji16] sikumbuki jina,
 
Kuna mdogo wangu kasoma na MTU anaitwa botoboro nyakibari[emoji3]
 
Daudi Kafila Nyamkuma askari wa JW kwao Musoma alikuja kusoma Diploma ili apate nafasi ya kwenda kusotea nyota Monduli
 
Back
Top Bottom