Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Miss Natafuta Benjamin Mkapa secondary dar 2013


Cc Miss Natafuta
 
Mapinduzi Mapumziko,nilikuwa naye Primary School..!!
 
Naona wanyakyusa na Wasukuma Wana Take place mimi napendezwa sana na Majina Ya kiasilia Japo ndugu zangu hawa nao Ushamba umewajaa haswaa, Mimi nilikuwa na mdada Classmate anaitwa Pili Sahani
 
Back
Top Bottom