Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Mbunye Imkome nilisoma nae primary aisee.

ebunipite peter mbongera-classment olevel 2005- mwakavuta iringa huko,

mawazo kufasimwiko-dom sec 2003

Mkarukwa mkagongwa HUYU NILISOMA NAYE SHULE YA MSINGI.

Sikitu hasara form six 2008 ifakara girls


liku malangu
duh,,kama ni mwalimu wa kike ndo anaita majina kwenye attendance hili jina ni balaa.

simparaganyike simwalumwalu
jamaa (vimevurugika) babake (viko hovyohovyo)

AJUA MUNGU NG'OMBE NI WANGU nilisoma nae middle school!!!

Ngoja nimalize kucheka kwanza. Dah!
Ni kweli au mengine yametungwa?
 
saa nane kazi basi. huyu alikuwa ni classmate wangu miaka ya 90 pale tabora boys
 
Denis ''Baghira'' sir name yake ilikuwa inaniacha hoi ila jamaa alikuja kuwa Mwizi jijini Arusha sikio alikatwa last time nilipomuona sidhani kama yupo hai tena...

Sos ''Chamba'' Dah alikuwa ni rafiki yangu ukimzingua anataka kupigana... hahahaha utoto mtu akikasirika ndio unakuwa mchezo

Damian ''Lusengekile'' akiitwa jina lazima nicheke...

''Dhiri'' Abdallah Alikuwa ni Mmasai nilikuwa sijawahi sikia jina kama hilo ''Dhiri'' so nilikuwa naenjoy sana...

''Ghanie'' huyu nadhani ni Mtangazaji sikuhizi ila nilikuwa naenjoy kulisikia jina lake ila alikuwa na vimaringo flani

Bartholomew hili jina ni la ajabu sikuelewa mtu anapewaje jina gumu kama hilo...

Ching'oro Magoti

Huko Bukoba hili jina la Bartholomew huwa wanarahisisha eti, 'Balitolomayo'
 
Kibendera Fugoyamahongo, nilisoma naye Butimba TTC. Alikuwa anafeli sana na sina uhakika kama alishapata diploma
 
ndugu togoro manyori, bwiting'o nyamuhanga, nyaunga sabahi, wote hawa walikua ilboru sex. school miaka flani ya around 2004 / 05,.
 
Back
Top Bottom