Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

mwandu salaganda,,,wabiharamulo nilisoma naye advance mahiwa high skul,as kulekusin mwand ni K,,,,daaah alikua anaonekana wa ajabu sana
 
Nyamwituliani Machoncholi
Mtanzania Kiberiti
CCM Magita

Waliopita Ihungo sec miaka ya mwisho mwisho ya tisini watakuwa wanakumbuka.
 
Nyambuli maloli mapesi manyama ni binti huyu nimajina yake yote yani lake la babake na babu, nasomanae kcmc
 
..

....Masemba Msanda Magaka.... Shybush ...dadek alishikilia rekodi kuwa mtu wa kwanza form one mpaka form two kuwa wa kwanza kutinga bwaloni mpindi likipondwa !!!

Earthmover, ha ha haaaa! Kamanda enzi za head nani? Bond Mbanga, Manyangu au Simbeye?
 
Last edited by a moderator:
Girigoyi Giriguwi!

aisee hilo jina lilikuwa likitajwa tu lazima kila mtu mtu akenue! gumu sana aisee!

Mwanza moja hiyo, class of 2009!
 
Back
Top Bottom