KAHIMERIA
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 326
- 386
Nimecheka kifala sanaNimeipenda hii post Nilionyesha post hii kwa familia yangu na wao pia wamependa post hii. tumenunua projekta na tukaonyesha post hii kwa mtaa mzima na pia wameipenda post hii. Maisha yetu yamebadilika kwa sababu ya post hii. Tunashukuru kwa post hii,asante sana kwa post hili..