wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Muhimu naomba jina liwe fupi, lisizidi herufi nane (8)
kuna simulizi naiandika nimekwama kwenye majina ya koo maarufu za wasukuma na wahaya, nimekutana na majina mengi sana, natafuta jina za koo maarufu hata watu wa mbali wakisikia tu wanajua asili yake.
Mfano mtu akiikia Laizer anajua ni masai, Mushi ni mchaga, Mapunda ni mngoni, Mkwawa ni mhehe, Sanga ni mkinga, Mwakyusa ni mnyakyusa, Mwita ni mkurya, n.k,