The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Iyo si soka tu ni full unlimited internet month package GT.Hadi Dunia ilipofika unalipia kuangalia soka mkuu? Ukiielewa tu mitaa ya mtandaoni hadi masters unasoma bure kutoka kwa waalimu world class kabisa toka Harvard university.
Kuwa mwenyeji wa internet tu basi.
IPI hyo mobodro inazinguaAchana na mobodro iko slow sana tumia live football TV ya waarabu haina sracth wala nini iko poa sana afu ni chimbo jipya watu kibao hawalijui hili chimbo.
Mb za jero ni ngapiMara nyingi huwa nikinunua mb za jero namaliza game yote dkk tisini.
Ingia website ya princesbet mechi kibao unacheki Live bila chengaHello Waungwana .Naomba mwenye kujua link ya kuangalia mpira wa Epl anijulishe please.
ASANTENI sana,
"Live football TV" kai download kule play store.IPI hyo mobodro inazingua
Hili swali likipata majibu sahihi litasaidia wadau wengi sana.Mechi moja unaweza tumia MB kiasi gani mkuu??
Hili swali likipata majibu sahihi litasaidia
MB 500 tu zinamaliza game dkk90.
MB za jero kwa mtandao gani??
Mkuu hii App vipi ipo mzuka??
Naona kuna Live Football Tv mbili ni ipi hapo ya 1 au 2???Achana na mobodro iko slow sana tumia live football TV ya waarabu haina sracth wala nini iko poa sana afu ni chimbo jipya watu kibao hawalijui hili chimbo.
Ahsante sana mdauPakua MOBDRO apk kwenye google na fanya installation kwenye simu yako. Kama inakusumbua nenda playstore na na pakua app inaitwa Live Football tv
Hii naidownload playstoreAchana na mobodro iko slow sana tumia live football TV ya waarabu haina sracth wala nini iko poa sana afu ni chimbo jipya watu kibao hawalijui hili chimbo.
Ndio mkuu.Hii naidownload playstore
Nimeidownload, Iko poa sanaNdio mkuu.
Hv upogo kitambo sijaona comments zako!Achana na mobodro iko slow sana tumia live football TV ya waarabu haina sracth wala nini iko poa sana afu ni chimbo jipya watu kibao hawalijui hili chimbo.