Ni jinsi gani naweza kuangalia mechi za EPL kwenye simu?

Achana na mobodro iko slow sana tumia live football TV ya waarabu haina sracth wala nini iko poa sana afu ni chimbo jipya watu kibao hawalijui hili chimbo.
IPI hyo mobodro inazingua
 
Mimi mbona nikistream bila app yani direct kwenye site kwa kutumia voda huwa 1GB inakata mara nyingi mpira ukiwa unaishia ishia kwenye dakika ya 80 na kitu hivi. Kwa MB500 kwa mechi nzima it sound good kwa kweli ingawa quality ya video pia ni moja ya factor inayochangia kunyonya MB. Ngoja nifanye uchunguzi kwenye game za kesho.
 
Achana na mobodro iko slow sana tumia live football TV ya waarabu haina sracth wala nini iko poa sana afu ni chimbo jipya watu kibao hawalijui hili chimbo.
Naona kuna Live Football Tv mbili ni ipi hapo ya 1 au 2???
 
Attachments

  • Screenshot_20181105-122940~2.png
    Screenshot_20181105-122940~2.png
    38.9 KB · Views: 50
Achana na mobodro iko slow sana tumia live football TV ya waarabu haina sracth wala nini iko poa sana afu ni chimbo jipya watu kibao hawalijui hili chimbo.
Hv upogo kitambo sijaona comments zako!
 
Back
Top Bottom