Ni jinsi gani naweza kujibu maswali ya Oral interview za utumishi.?

Ni jinsi gani naweza kujibu maswali ya Oral interview za utumishi.?

ProMagufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2021
Posts
253
Reaction score
270
Habari za weekend wakuu.

Swali langu ni kama heading isemavyo.
Na Mimi natamani nipate ajira niachane na huu ujobless, maisha magumu umri unaenda, wachumba hawanitaki kisa dough.

mfano wa maswali.
1. What do you understand by the term security as applied in Information Technology (IT)?
2. What are the methods will you use to know if your students have understood the content you have taught.? Five points

Naomba msaada. Ina maana itapaswa nijieleze mfano wa essay ama inakuaje? Wale mliofanikiwa kupata placement ilikuwaje. Naombeni uzoefu wenu. Nilipoenda mara ya Kwanza nilikula za uso mpaka kwa sasa naogopa.

Karibuni kwa michango. Muwe na weekend njema.
 
inategemea na swali
mfano likisena
- what is. unataja tu maana ya kitu
-Mention una menseni
-outline
-explain una explain
 
Back
Top Bottom