Makuburi101
Member
- Apr 22, 2016
- 10
- 17
Jamani mi ninataka msaada kidogo. Nilituma package kutoka UK through DHL, unfortunately package haikuchuliwa kwa wakati muafaka. Nimeongea nao wanasema ipo warehouse. So ni jinsi gani ya kuitoa hiyo package warehouse? Naombeni msaada wa mawazo.