M Makuburi101 Member Joined Apr 22, 2016 Posts 10 Reaction score 17 Aug 16, 2022 #1 Jamani mi ninataka msaada kidogo. Nilituma package kutoka UK through DHL, unfortunately package haikuchuliwa kwa wakati muafaka. Nimeongea nao wanasema ipo warehouse. So ni jinsi gani ya kuitoa hiyo package warehouse? Naombeni msaada wa mawazo.
Jamani mi ninataka msaada kidogo. Nilituma package kutoka UK through DHL, unfortunately package haikuchuliwa kwa wakati muafaka. Nimeongea nao wanasema ipo warehouse. So ni jinsi gani ya kuitoa hiyo package warehouse? Naombeni msaada wa mawazo.
lynch JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 299 Reaction score 258 Aug 18, 2022 #2 Uko mkoa gani, Nenda pale k.koo Mtaa wa Msimbazi pale Upande wa kulia ukiwa unatokea fire.kuna hotel moja ya kicking hapo wana ofisi yao. Or kama uko mbali nikumbushe jioni nikutumie price charge zao nina kipeperush chao
Uko mkoa gani, Nenda pale k.koo Mtaa wa Msimbazi pale Upande wa kulia ukiwa unatokea fire.kuna hotel moja ya kicking hapo wana ofisi yao. Or kama uko mbali nikumbushe jioni nikutumie price charge zao nina kipeperush chao