Simple
1 • Jambo la kwanza tengeneza authority katika eneo unalotoa huduma yako.
Authority itakufanya uonekane mjuzi wa bidhaa unayojaribu kuwauzia wengine.
Pia itakusaidia kutengeneza brand yako.
Mbinu hii itakusaidia sana in a long run.
Kujenga authority unahitaji kujihabarusha.
Uwe mbele ya unaojaribu kuwashawishi kuwauzia bidhaa. Hasahasa mtandaoni.
Kama unauza bidhaa za afya na lishe basi educate yourself about health & food.
Kama ni lifestyle product basi jifunze kuwa "cool"
2 • Focus kutoa VALUE kwa potential customers na si kuuza tu.
Yep.
Wateja hawapendi ile feeling yakuuziwa.
Na huo ndiyo ukweli.
Kadiri unavyojaribu kuuza ndivyo wateja wanazidi kuku-ignore.
3 • Jifunze kitu kuhusu price fixing.
Yes man.
Sometimes unaweza kukosa wateja kwasababu tu bei zako si reasonable.
4 • Fahamu kuwa potential customers anaweza asinunue bidhaa unayouza siku ya 1, 2, 3, 4, 5,..........10 akaja kununua siku ya 11.
Hapo unajifunza nini?
Patience is key in business.
5 • Sasa ni wakati wa kwenda deep zaidi.
Mkuu kama utapenda kujifunza mbinu zinazofanya kazi kweli jinsi yakupata wateja mtandaoni na kuunda list ya wateja waaminifu nitafute kupitia my personal email address
wiserastarising@gmail.com
Nitafurahi kukusaidia.
Pia unaweza ukasoma post zangu nyingine hapa JF.
Najaribu kusaidia wengine kuongeza kipato mtandaoni.
Namaste.