Ni jinsi gani ya kutangaza biashara kwenye mitandao?

Ni jinsi gani ya kutangaza biashara kwenye mitandao?

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
1,033
Reaction score
895
Hatua zipi ili (Muuza) aweze kufikia wa wadau kwa kutumia jukwaa la "Mitandao?

Je! ipo kampuni rasmi inayopokea, kuandaa, na kuweka matangazo kwenye Mitandao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuhusu hizo kampuni rasmi..binafsi sijui me nazojua ni ile kupost bidhaa zako kwenye mitandao kama Instagram facebook n.k na hatua nazojua
  • kucreat account ako instagram
  • kuselect jina ambalo litajieleza wazi juu ya shughuli yako kama; Nyumbamungu_fashion , nyumambungu_clothes/shoes
  • kwenye bio unaweza pia andka kiufipi unauza nn.
  • kuweka location ambayo mteja anaweza pata hizo bidhaa.
  • pia kuweka maelezo mafupi namna bidha hzo ztamfikia mteja aliepo karbu au mkoani.
  • pia waweza kuandka kwenye hyo post ako kama ni kiatu au nguo bei yake
  • onyesha kuwa account ako ipo active kwa kupost pia Instagram status bidhaa zako au matangazo yeyote……. binafsi najua hayo tu nyumbamungu
 
Mawasiliano yake?

Hi brother,

Angalia video hii. Itakusaidia kwa kiasi kikubwa mno.

Kujifunza zaidi bofya hapa.

Dr. Said Said
CEO - Online Profits
 
Simple

1 • Jambo la kwanza tengeneza authority katika eneo unalotoa huduma yako.

Authority itakufanya uonekane mjuzi wa bidhaa unayojaribu kuwauzia wengine.

Pia itakusaidia kutengeneza brand yako.

Mbinu hii itakusaidia sana in a long run.

Kujenga authority unahitaji kujihabarusha.

Uwe mbele ya unaojaribu kuwashawishi kuwauzia bidhaa. Hasahasa mtandaoni.

Kama unauza bidhaa za afya na lishe basi educate yourself about health & food.

Kama ni lifestyle product basi jifunze kuwa "cool"

2 • Focus kutoa VALUE kwa potential customers na si kuuza tu.

Yep.

Wateja hawapendi ile feeling yakuuziwa.

Na huo ndiyo ukweli.

Kadiri unavyojaribu kuuza ndivyo wateja wanazidi kuku-ignore.

3 • Jifunze kitu kuhusu price fixing.

Yes man.

Sometimes unaweza kukosa wateja kwasababu tu bei zako si reasonable.

4 • Fahamu kuwa potential customers anaweza asinunue bidhaa unayouza siku ya 1, 2, 3, 4, 5,..........10 akaja kununua siku ya 11.

Hapo unajifunza nini?

Patience is key in business.

5 • Sasa ni wakati wa kwenda deep zaidi.

Mkuu kama utapenda kujifunza mbinu zinazofanya kazi kweli jinsi yakupata wateja mtandaoni na kuunda list ya wateja waaminifu nitafute kupitia my personal email address wiserastarising@gmail.com

Nitafurahi kukusaidia.

Pia unaweza ukasoma post zangu nyingine hapa JF.

Najaribu kusaidia wengine kuongeza kipato mtandaoni.

Namaste.
 
Back
Top Bottom