Ni juhudi gani uliwahi fanya kupata mpenzi ukikumbuka unaishiwa nguvu?

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wakuu watu wanazaliwa na kukua...

Katika makuzi sometime unajikuta balehe inakupeleka kutaka kunyanduana, hivyo harakati za kutafuta wasichana zinaanza, hata ukubwani pia sasa hivi bila shaka kuna harakati pia za kutafuta pisi bado unafanya.

Kiasi kwamba ukikumbuka unaishiwa nguvu. Je ni harakati zipi hizo ulifanya kwamba ukikumbuka unaishiwa nguvu kabisa? Inawezekana na bado akakuacha?

Mimi kwa kweli niliwahi hadi kwenda kwao kupalilia mahindi for free lakini bado akaniacha. Nikikumbuka naishiwa nguvu...

1624013627747.png

Nikiwa kijana niliwahi hangaikia maku moja hivi enzi hizo hadi nilionewa huruma nikapewa, baada ya kumaliza nikahisi kama vile sijapata faida yeyote ile zaidi ya kihisi kinyaa aaaarrrrrrrrrgh!
 
Kusaga miguu kilometa karibu 3 namngojea chimbo kuanzia saa3 usiku mpaka saa 6 hajatokea nafika home saa saba ananiambia nilipitiwa usingizi 🤣🤣🤣🤣🤣
Saa 8 ananiambia njoo mimi huyoo mbio nika print kurina asali jumba bovu
Nilikuwa kijana wa hovyo sana wallah mpaka sasa hivi nasema ningeliwa hata na fisi ningeambia ukoo nini
 
🤣🤣🤣🤣🤣Ulikolezwa
 
Wakuu watu wanazaliwa na kukua...

Katika makuzi sometime unajikuta balehe inakupeleka kutaka kunyanduana, hivyo harakati za kutafuta wasichana zinaanza, hata ukubwani pia sasa hivi bila shaka kuna harakati pia za kutafuta pisi bado unafanya.

Kiasi kwamba ukikumbuka unaishiwa nguvu. Je ni harakati zipi hizo ulifanya kwamba ukikumbuka unaishiwa nguvu kabisa? Inawezekana na bado akakuacha?

Mimi kwa kweli niliwahi hadi kwenda kwao kupalilia mahindi for free lakini bado akaniacha. Nikikumbuka naishiwa nguvu...

Dah. Mimi nilienda kwao kuotesha mahindi na bado niliambulia sifuri kubwa.
 
Wakuu watu wanazaliwa na kukua...

Katika makuzi sometime unajikuta balehe inakupeleka kutaka kunyanduana, hivyo harakati za kutafuta wasichana zinaanza, hata ukubwani pia sasa hivi bila shaka kuna harakati pia za kutafuta pisi bado unafanya.

Kiasi kwamba ukikumbuka unaishiwa nguvu. Je ni harakati zipi hizo ulifanya kwamba ukikumbuka unaishiwa nguvu kabisa? Inawezekana na bado akakuacha?

Mimi kwa kweli niliwahi hadi kwenda kwao kupalilia mahindi for free lakini bado akaniacha. Nikikumbuka naishiwa nguvu...

Home bi mkubwa alikua ana uza mkaa na kwao wanauza mtaa wa tatu iv ko ikawa ili nimuone tu naenda usiku kwao nanunua fuko la mkaa napeleka om namwambia mama afu Kuna mkaa mlisahau nje kuanua ila anabisha Sana kua mbona alitoa mifuko yote Ila me nakaza kua umesahaulika nadhan Kuna kitu alikuja kuqundua Maza baada yakunikuta nae cku moja ikawa hata nimwambie anasema sawa weka Apo😃😃
 
We jamaa ulitisha
 
Sikiliza wimbo wa solemba,yule ndio mimi sasa
 
Back
Top Bottom