Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Zitakuwa za kiumeUliishiwa na nguvu zipi?
Aiseh wewe nawe uliteseka kwa kweli 😀Kwao walikuwa wanauza bagia kwa nje, nilinunua zile bagia kama chizi, nilikuwa mteja wao mkubwa, utoto raha sana
Nilijaribu kubadili matamshi niwe kama watu wa Dar lakini haikusaidia kitu mpaka nlipo olewa na mume wangu wa sasa.Nilijifunza hadi kilugha cha kwao, na bado haikufua dafu.[emoji276]
Uko singo sasa?Mi nkikumbuka tulivoachanaga mpaka waleo sipatagi jawabu Anyway..........
Mi nkikumbuka tulivoachanaga mpaka waleo sipatagi jawabu Anyway..........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikwambia mtaachana tu.[emoji276]
🤣🤣🤣🤣🤣UlikolezwaKusaga miguu kilometa karibu 3 namngojea chimbo kuanzia saa3 usiku mpaka saa 6 hajatokea nafika home saa saba ananiambia nilipitiwa usingizi 🤣🤣🤣🤣🤣
Saa 8 ananiambia njoo mimi huyoo mbio nika print kurina asali jumba bovu
Nilikuwa kijana wa hovyo sana wallah mpaka sasa hivi nasema ningeliwa hata na fisi ningeambia ukoo nini
Dah. Mimi nilienda kwao kuotesha mahindi na bado niliambulia sifuri kubwa.Wakuu watu wanazaliwa na kukua...
Katika makuzi sometime unajikuta balehe inakupeleka kutaka kunyanduana, hivyo harakati za kutafuta wasichana zinaanza, hata ukubwani pia sasa hivi bila shaka kuna harakati pia za kutafuta pisi bado unafanya.
Kiasi kwamba ukikumbuka unaishiwa nguvu. Je ni harakati zipi hizo ulifanya kwamba ukikumbuka unaishiwa nguvu kabisa? Inawezekana na bado akakuacha?
Mimi kwa kweli niliwahi hadi kwenda kwao kupalilia mahindi for free lakini bado akaniacha. Nikikumbuka naishiwa nguvu...
Home bi mkubwa alikua ana uza mkaa na kwao wanauza mtaa wa tatu iv ko ikawa ili nimuone tu naenda usiku kwao nanunua fuko la mkaa napeleka om namwambia mama afu Kuna mkaa mlisahau nje kuanua ila anabisha Sana kua mbona alitoa mifuko yote Ila me nakaza kua umesahaulika nadhan Kuna kitu alikuja kuqundua Maza baada yakunikuta nae cku moja ikawa hata nimwambie anasema sawa weka Apo😃😃Wakuu watu wanazaliwa na kukua...
Katika makuzi sometime unajikuta balehe inakupeleka kutaka kunyanduana, hivyo harakati za kutafuta wasichana zinaanza, hata ukubwani pia sasa hivi bila shaka kuna harakati pia za kutafuta pisi bado unafanya.
Kiasi kwamba ukikumbuka unaishiwa nguvu. Je ni harakati zipi hizo ulifanya kwamba ukikumbuka unaishiwa nguvu kabisa? Inawezekana na bado akakuacha?
Mimi kwa kweli niliwahi hadi kwenda kwao kupalilia mahindi for free lakini bado akaniacha. Nikikumbuka naishiwa nguvu...
We jamaa ulitishaHome bi mkubwa alikua ana uza mkaa na kwao wanauza mtaa wa tatu iv ko ikawa ili nimuone tu naenda usiku kwao nanunua fuko la mkaa napeleka om namwambia mama afu Kuna mkaa mlisahau nje kuanua ila anabisha Sana kua mbona alitoa mifuko yote Ila me nakaza kua umesahaulika nadhan Kuna kitu alikuja kuqundua Maza baada yakunikuta nae cku moja ikawa hata nimwambie anasema sawa weka Apo😃😃