Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Habari za majukumu wakuu.
Napenda tushee kwa pamoja hili suala maana kila mmoja kuna kitu anapenda na akikiona roho yake inatamani hapa nazungumzia kwa upande wa juisi tu.
Mimi binafsi hata kama nipo kwenye usafiri nikiona juisi ya miwa lazima nisimame na kupata glass mbili sijui kwanini roho yangu inapenda sana ile kitu.
Kwamfano nitoke kwa Azizi ally nimekunywa basi nikifika ferry nikiona tena lazima ninywe, nikivuka kwenda Kigamboni nikiona tena nakunywa yaani naona natamani kuendelea kunywa tu.
Yaani ni sawa sawa na baadhi ya watu humu na pombe yaani hawezi kuacha hata kama alikotoka amekunywa lazima apashe tena mbeleni akiona bar.
Nawakilisha.