Ni juisi gani ambayo unapendelea kuitumia/kunywa kwa wingi?

Ni juisi gani ambayo unapendelea kuitumia/kunywa kwa wingi?

Juice ya Ndizi.
Unachukua ndizi mbivu kama mkungu mzima,Majani flani hivi magumu. Unaweka kwenye beseni unakamua kwa kutumia majani. Inatoka juice yenye ladha nzuuuri ya majani na ndizi.
We dogo huu uongo unamtungia nani?
 
Juice ya Ndizi.
Unachukua ndizi mbivu kama mkungu mzima,Majani flani hivi magumu. Unaweka kwenye beseni unakamua kwa kutumia majani. Inatoka juice yenye ladha nzuuuri ya majani na ndizi.
wewe utakuwa mtu wa kanda ya magharibi hahaha hayo majani wanaita
Imperata cylindrica a.k.a sword grass
 
wewe utakuwa mtu wa kanda ya magharibi hahaha hayo majani wanaita
Imperata cylindrica a.k.a sword grass
Castr unamuoana mtu aliyeelewa nilichoandika?

Ndio mkuu Mr Q pia juice hiyo ndo baadae inatengenezwa pombe ya kienyeji ya kabila flani kanda ya ziwa.

Majani hayo tunayaiita Umotomoto yanakata vidole sana.
 
Kunajamaa hapa anasema yeye anapendelea juice yeyote iliochujwa na chupio.... tehteehhh
Naomba kumuwasilshia....
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom