HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
We dogo huu uongo unamtungia nani?Juice ya Ndizi.
Unachukua ndizi mbivu kama mkungu mzima,Majani flani hivi magumu. Unaweka kwenye beseni unakamua kwa kutumia majani. Inatoka juice yenye ladha nzuuuri ya majani na ndizi.
wewe utakuwa mtu wa kanda ya magharibi hahaha hayo majani wanaitaJuice ya Ndizi.
Unachukua ndizi mbivu kama mkungu mzima,Majani flani hivi magumu. Unaweka kwenye beseni unakamua kwa kutumia majani. Inatoka juice yenye ladha nzuuuri ya majani na ndizi.
Castr unamuoana mtu aliyeelewa nilichoandika?wewe utakuwa mtu wa kanda ya magharibi hahaha hayo majani wanaita
Imperata cylindrica a.k.a sword grass
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ntamuagiza rafiki angu kesho anakuja Unguja aniletee jioni akirudi.Ukwaju kuna sehem Unguja wanapaita Lukman, unachanganywa na ndizi mbivu, ukipata juice yake ni burudani.
Basi ngoja akaniombee hapo.Mh! Sasa si uombe formula utengeneze mwenyewe? Juice itoke Unguja hadi mujini si itachacha rafiki?
Wakubwa tushakuelewa shem..juic ya tango unaipenda sana wewe,[emoji23] [emoji23]Juice ya tango na carrot
Basi ngoja akaniombee hapo.
Jesus!!! wee smart weweeeee!!!