Kuna baba wengine wao.ndio kwanza wanachojua kujisifia tuu mara yule nilisoma nae mkuu wa mkoa..
Mara yule mkuu wa wilaya.
Alafu yeye badala atafute connection yeye anapuyanga tu ndo mana mi nipo strictly sana na mambo yangu staki nije kukosea kwa hao wanangu...
Kwanza staki watoto.
Nishaghaili