Ni jukumu lako Mwanaume kutafuta msaidizi wa kazi za ndani (Dada wa kazi)

Ni jukumu lako Mwanaume kutafuta msaidizi wa kazi za ndani (Dada wa kazi)

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Kwanza hakikisha unampunguzia majukumu maana hutafuti mtumwa, nunua baadhi ya mashine mf. Mashine ya kufulia, zipo za laki 6 nzuri sana, mashine ya kudekia zipo za laki 4 nanusu nzuri sana. Ukiweza unaweza tafuta na yakuoshea vyombo ila hii si lazima.

Pili tafuta mdada ambaye hata wewe ukimwangalia unasema Yes, huyu niyeye, awe soft, mwenye positive altitude, big smile e.t.c

Pia msaidie kutoka ulipo mkuta, baada ya kukaa naye mwaka 1 mzawadie hata kiwanja cha laki 5 tu kilichopo nje kabisa ya mji yaani ahisi anaishi na binadamu.

Mwisho USIM-BAKE.
 
Back
Top Bottom