Ni jukwa gani JF lenyewe hulipendi?

Ni jukwa gani JF lenyewe hulipendi?

Mr IQ

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
1,024
Reaction score
1,377
Habari wandugu.. Binafsi kunaa baadhi ya majukwaa y jf yenyew cjawai gusa na cjui n kwanini
Jukwaa la mapenzi na mahusiano iv likojee..??
Kwa upandewako ni jukwaa lipi lenyew hulipendi?
 
ukipendacho wewe si lazima mwenzako akipende.

nikijibu swali lako la msingi forums zote nazipenda...
 
Jukwaa la mapenzi mbona zuri tu we jalbu kuingia huone kama utakuja kutoka
 
ukipendacho wewe si lazima mwenzako akipende.

nikijibu swali lako la msingi forums zote nazipenda...
Sawa mkuu afu badilisha jina lako..! Ume ni iga
 
Back
Top Bottom