Ni kama alikuwa anasema 'natamani enzi zangu zirudi'

For real hata ungekuwa wewe ungesikitika sana, sipati picha alijisikia vibaya kiasi gani kufungwa vile nyumbani, mbele ya utitiri wa mashabiki

Na kinachoumiza zaidi, Ivory coast walikosa magoli mengi sana tena ya wazi kabisa either kutokana na uzembe au ubinafsi

Kwa mshambuliaji mwenye caliber ya Drogba, mechi ya jana kwa zile enzi zake sasa hivi tungekuwa tunaongea habari za ushindi wa 10 - 4 na sio vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…