Ni kama alikuwa anasema 'natamani enzi zangu zirudi'

Ni kama alikuwa anasema 'natamani enzi zangu zirudi'

Najua ulikuwa unaamisha unaweza fikiri mtu ni kijana kumbe umemzidi umri. You never lose you either win or you learn.
Hapana mkuu, nilikuwa namaanisha ww usiye mwanamichezo unaweza ukawa na 40yrs ila unaona Messi kazeeka.
 
Walivyocheza na taifa stars mechi ya Kirafiki na kutufunga 1-0 kwa goli lake la kichwa pale kwa mkapa wakijiandaa kwenda South Africa world cup ya 2010 nilishuhudia uwanjani nikiwa jukwaa la magharibi nikitazama karibu kabisa goli la kaskazini .
 
Anajisikia vibaya wakati yeye ubingwa ulimshinda na alikuwa na kikosi bora kuliko hata hiki. Toure brothers, Hatuna Kone, Zokora, Ebue na wengine wengi. Hawakufanya lolote.
Bila kusahau akiwa klabuni anakiwasha akija timu ya taifa anacheza kifaza
 
Anajisikia vibaya wakati yeye ubingwa ulimshinda na alikuwa na kikosi bora kuliko hata hiki. Toure brothers, Hatuna Kone, Zokora, Ebue na wengine wengi. Hawakufanya lolote.
sio nyumban lkn
 
....after they will humiliated....kweli hii lugha ilikuja kwa Meli
Nahis aliyendika ni kutoka west Africa francfon counries.Asamehewe tu au pengine ni typo....Ujumbe wake umeeleweka
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom