Ni kama tumegeuka taifa la wapiga ramli na washirikina kirejareja

Ni kama tumegeuka taifa la wapiga ramli na washirikina kirejareja

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1760639907776.png

Kila nipitapo humu, nimekuwa nasoma upuuzi uitwao 'utabiri' wa baadhi ya mazwazwa yanayojikomba kwa bi kidude kutaka wageuzwe chawa na kutupiwa makombo.

Si hapa tu, hata huko mitaani, mchezo huu mchafu umeenea na kutamalaki. Ni kama tumegeuka taifa la wapiga ramli na washirikina kirejareja.

Kigombacho ni kwamba, mamods wanaua mawazo chokonozi na tekenyeshi huku wakivumilia utapeli na uzwazwa uchwara. Je, tufanye nini kuepuka na kuepusha balaa hili la kujitakia kama jamii, taifa, na watu?
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
View attachment 3489637
Kila nipitapo humu, nimekuwa nasoma upuuzi uitwao 'utabiri' wa baadhi ya mazwazwa yanayojikomba kwa bi kidude kutaka wageuzwe chawa na kutupiwa makombo.

Si hapa tu, hata huko mitaani, mchezo huu mchafu umeenea na kutamalaki. Ni kama tumegeuka taifa la wapiga ramli na washirikina kirejareja.

Kigombacho ni kwamba, mamods wanaua mawazo chokonozi na tekenyeshi huku wakivumilia utapeli na uzwazwa uchwara. Je, tufanye nini kuepuka na kuepusha balaa hili la kujitakia kama jamii, taifa, na watu?
Kuwakataaa wafuga chawa na chawa,iwapo ipo njia nyingine nisaidie mawazo,wasaidie mawazo!
 
Back
Top Bottom