johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Polepole alikuwa anajaribu kupunguza msongamano wa wafungwa gerezani!Propaganda kama za Polepole unaona zilivyoichafua Taasisi ya Urais.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaccm pekee unayejua kutofautisha rangi.Mkuu kuna maisha baada ya siasa!
Hahahaaaaa........nimecheka sana bwashee!Yaani kumbe Jon mccm wakati mwingine zinaingia na kutoka Leo umeongea point zimefuta pumba zako zote
Bwashee umenena vyema.Nilipowaona viongozi wa Chadema wakitoka Segerea na vipara ndio nikajiuliza, ukikubali kulipa faini haupewi walau muda kidogo wa kukamilisha taratibu za kiuhasibu?
Kwa maana kitendo cha kunyolewa nywele na kutupws gerezani ni kwamba tayari una namba inayoonyesha umeingia lini na utatoka lini labda upite msamaha wa Rais hapo katikati ndio utawahi kutoka.
Hii sheria ipitiwe upya mfungwa akikubali kulipa faini apewe muda fulani labda siku 3 na akishindwa ndio atupwe gerezani na hasa faini yenyewe inapohusisha kiasi kikubwa cha fedha.
Kuna nchi hapa Duniani hata kifungo cha jela hakianzi siku hiyo hiyo unapewa wiki mbili za kuweka sawa mambo ya familia yako ndio unaripoti gerezani.
Maendeleo hayana vyama!
Hakimu aliyehukumu ile kesi alifanya makosa sana. Tena Jaji kiongozi anatakiwa amshushe cheo aende mahakama ya mwanzo na wala sio Rmc. Maana walitakiwa wafungwe pamoja na fine. Chama cha watu wenye vurugu alafu anawalegezea.Nilipowaona viongozi wa Chadema wakitoka Segerea na vipara ndio nikajiuliza, ukikubali kulipa faini haupewi walau muda kidogo wa kukamilisha taratibu za kiuhasibu?
Kwa maana kitendo cha kunyolewa nywele na kutupws gerezani ni kwamba tayari una namba inayoonyesha umeingia lini na utatoka lini labda upite msamaha wa Rais hapo katikati ndio utawahi kutoka.
Hii sheria ipitiwe upya mfungwa akikubali kulipa faini apewe muda fulani labda siku 3 na akishindwa ndio atupwe gerezani na hasa faini yenyewe inapohusisha kiasi kikubwa cha fedha.
Kuna nchi hapa Duniani hata kifungo cha jela hakianzi siku hiyo hiyo unapewa wiki mbili za kuweka sawa mambo ya familia yako ndio unaripoti gerezani.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu Bila bila,huyu johnthebaptist naamini ni Mkristo,kinachonishangaza yeye kufungamana na kikundi cha wachawi.
Nilipowaona viongozi wa Chadema wakitoka Segerea na vipara ndio nikajiuliza, ukikubali kulipa faini haupewi walau muda kidogo wa kukamilisha taratibu za kiuhasibu?