Ni kama vile Mbowe na wenzake wametumikia adhabu zote mbili ile ya kufungwa jela na kulipa faini, au imekaaje wakuu?

Yaani kumbe Jon mccm wakati mwingine zinaingia na kutoka Leo umeongea point zimefuta pumba zako zote
 
Wamekua wakilalamika kuwa mahakama zetu sio huru.. ni nn kinawaaminisha kuwa watashinda hyo rufaa? Waelekeze nguvu kwenye maandalizi ya uchaguzi mkuu waachane na hizi blaablaa!
 
Nilipowaona viongozi wa Chadema wakitoka Segerea na vipara ndio nikajiuliza, ukikubali kulipa faini haupewi walau muda kidogo wa kukamilisha taratibu za kiuhasibu?

Kwa maana kitendo cha kunyolewa nywele na kutupws gerezani ni kwamba tayari una namba inayoonyesha umeingia lini na utatoka lini labda upite msamaha wa Rais hapo katikati ndio utawahi kutoka.

Hii sheria ipitiwe upya mfungwa akikubali kulipa faini apewe muda fulani labda siku 3 na akishindwa ndio atupwe gerezani na hasa faini yenyewe inapohusisha kiasi kikubwa cha fedha.

Kuna nchi hapa Duniani hata kifungo cha jela hakianzi siku hiyo hiyo unapewa wiki mbili za kuweka sawa mambo ya familia yako ndio unaripoti gerezani.

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee umenena vyema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakimu aliyehukumu ile kesi alifanya makosa sana. Tena Jaji kiongozi anatakiwa amshushe cheo aende mahakama ya mwanzo na wala sio Rmc. Maana walitakiwa wafungwe pamoja na fine. Chama cha watu wenye vurugu alafu anawalegezea.
 
Nilipowaona viongozi wa Chadema wakitoka Segerea na vipara ndio nikajiuliza, ukikubali kulipa faini haupewi walau muda kidogo wa kukamilisha taratibu za kiuhasibu?

Kwa maana kitendo cha kunyolewa nywele na kutupws gerezani ni kwamba tayari una namba inayoonyesha umeingia lini na utatoka lini labda upite msamaha wa Rais hapo katikati ndio utawahi kutoka.

Hii sheria ipitiwe upya mfungwa akikubali kulipa faini apewe muda fulani labda siku 3 na akishindwa ndio atupwe gerezani na hasa faini yenyewe inapohusisha kiasi kikubwa cha fedha.

Kuna nchi hapa Duniani hata kifungo cha jela hakianzi siku hiyo hiyo unapewa wiki mbili za kuweka sawa mambo ya familia yako ndio unaripoti gerezani.

Maendeleo hayana vyama!

Uthibitisho kama unaweza kulipa faini au kuendelea kukaa jela utaupata ukiwa tayari jela.Siku hukumu inapotoka na utekelezaji wake unaanza mara moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom