tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
Nilijua wapinzani hasa CHADEMA wangeendelea kuisusia Serikali kwa sababu CCM ni ile ile ila Rais ndiye amebadilika, ila kila ninayemsoma humu kwenye mitandao basi anamsifia Rais na kumuomba afanye kitu fulani.
Sasa nashindwa kuelewa wameamua kukubali kuwa CCM ni chama kubwa au wamekata tamaa?
Sasa nashindwa kuelewa wameamua kukubali kuwa CCM ni chama kubwa au wamekata tamaa?