Ni kama watangazaji wa vipindi maarufu kwenye haya maredio wamebadilishwa!

Dogo umekomalia Sana hii ishu. Mwanamme hawi hivi Bana.
 
Mambo mengine yanataka elimu ya darasani ivi std seven anakuwa mtangazaji mara chumviii ndio nini hapana education is must watu wawe wame some taaluma ya utangazaji kuna pia miiko ya uandishi na utangazaji wao wao wakalime au kufanya biashara ya nyanya vichwa vya magazeti hawavielewi wanatafusiri kinyume hii bushiit
 
Awali nilijua wamesafiri wakashikiwa kipindi kumbe ndo kwa heri?!
 
Kila mtu apate ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…