Ni kama watangazaji wa vipindi maarufu kwenye haya maredio wamebadilishwa!

Ni kama watangazaji wa vipindi maarufu kwenye haya maredio wamebadilishwa!

Utekelezaji wa taratibu za watu wa ithibati kwa mwaka huu ni ngumu. Labda kama watapewa utambuzi wa kifurushi kama zile ndoa za kifurushi zinazofungwa wakati wa krismas na Pasaka kwa baadhi ya madhehebu
 
Really!? Mpaka kina adamu wamepigwa chini !?
Adam anatangaza kipindi kinaitwa Jahazi HD kuanzia saakumi na moja jioni akiwa yeye na B12 na George Bantu.

Baada ya Serikali kuweka hicho kigezo chao , uongozi wa CMG

(Clouds Media Group) walichofanya waliwasomesha Chuo watangazaji wao ambao hawakuwa na hiyo taaluma .

Kwahiyo Asilimia kubwa watangazaji maarufu wamepita Shule .

Ila nachojua Chumvi yule wa Wasafi alipata 0 4M4 kwahiyo kaamua kuendeleza harakati nje ya media
 
Back
Top Bottom