Ni kama watangazaji wa vipindi maarufu kwenye haya maredio wamebadilishwa!

Ni kama watangazaji wa vipindi maarufu kwenye haya maredio wamebadilishwa!

Really!? Mpaka kina adamu wamepigwa chini !?
Adam na Dozen walihamishwa kwenye kipindi cha Jahazi toka Gardner alivyofariki so now wanasikika kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa tatu usiku
 
Nilijua tu Kitenge kwa mdomo ule atakua Form 4 failure , kuna video moja niliwahi iona akiongea "kinge" ilikua ni balaa kubwa 😀 😀 😀 😀
 
Kuna nini. Maana Jahazi nasikia sauti za watangazaji mpya.

Nikienda Wasafi nako watangazaji maarufu siwasikii tena!!

Nini kinaendelea maana maredio haya makubwa watangazaji maarufu siwasikii tena...

Wapi Mchomvu, wapi Kipanya, wapi Masanja, Zembwela nk
Watakuwa walipata udhuru wa kwenda kuchukua fomu
 
Loophole ya wao kuitwa mara kwa mara kama guests wa kipindi na sio watangazaji rasmi, na kulipwa kama consultants na sio salaried inazibwa vipi?
 
Watu tunachosahau ni kuwa diploma utaplipata vipi hauna cheti cha 4M4 ?

Ukiona MTU hana Diploma ujue tatizo cheti cha 4M4

Hapa tanzia Elimu ya chuo ni rahis Ila mchawi form four kukipata kile cheti

Online courses unapata cheti bila hyo certificate ya Form 4
 
Sijapenda huu utaratibu mpya wa bodi ya ithibati, wangeacha tu waandishi wafanye kazi huku wakijiendeleza kupata sifa wanazotaka
Wameachwa toka mwaka 2016, ni miaka 9 sasa imepita hata mtu wa lasaba angekua kamaliza hiyo Diploma kitambo.
Labda hawapendi shule au hawapendi kuwa wanahabari.
 
Back
Top Bottom