Ni kama watangazaji wa vipindi maarufu kwenye haya maredio wamebadilishwa!

Adam anatangaza kipindi kinaitwa Jahazi HD kuanzia saakumi na moja jioni akiwa yeye na B12 na George Bantu.

Baada ya Serikali kuweka hicho kigezo chao , uongozi wa CMG

(Clouds Media Group) walichofanya waliwasomesha Chuo watangazaji wao ambao hawakuwa na hiyo taaluma .

Kwahiyo Asilimia kubwa watangazaji maarufu wamepita Shule .

Ila nachojua Chumvi yule wa Wasafi alipata 0 4M4 kwahiyo kaamua kuendeleza harakati nje ya media
Aisee 🤔🤣
 
Yaan acha tu, sema kwa upande mwingine bora walivyofanya hivyo itasaidia maana hii Tasnia ilikuwa imevamiwa 😂😂😂
Yaani ilikuwa kama imepatwa na wazimu kwahiyo now days hakuna Cha juma lokole sijui baba levo Wala Dr kumbuka !?

Lakini Fetty sikasoma yule au hajasomea tasnia ya habari Yaani masudi pia itakuwa hajasomea habari dahh !! Miaka yote Ile !?
 
Hana cheti cha 4M4

Kusoma habari sio issue Ila lazima uwe umefika 4M4
 
Yaani ilikuwa kama imepatwa na wazimu kwahiyo now days hakuna Cha juma lokole sijui baba levo Wala Dr kumbuka !?

Lakini Fetty sikasoma yule au hajasomea tasnia ya habari Yaani masudi pia itakuwa hajasomea habari dahh !! Miaka yote Ile !?
Kwa kweli walikuwa wameona kama ni kichaka cha kujifichia hao wote wameambiwa warudi tena shule kama 😅 hutaki tafuta cha kufanya

Kuhusu Masoud nahisi kasomea na kama hajasomea basi atakuwa kaajiriwa kwa namna nyingine, si unajua ni mchora katuni kitambo? Halafu ashawahi kufanya kazi na Gazeti la Mwanahalisi(kama sijakosea) miaka ya nyuma ili ufanye kazi kwenye gazeti kigezo cha elimu kilizingatiwa sana
 
Onhoo kwamba na yeye Panga limempitia?
Then Mimi sijafatilia nafikiri hili panga linawahusu watangazaji wa vipindi Vya Ahsubui ambavyo vinahusu mambo sensitive ya nchi .

Mpaka sasa akina Lokole wapo sasa sifikirii Kama lokole awe amefika form four maybe I don't know
 
Yaani upo katika kazi miaka nenda Rudi unashindwa hata kujiendeleza kielimu ama kweli waliona kichaka Cha kujificha
 
Then Mimi sijafatilia nafikiri hili panga linawahusu watangazaji wa vipindi Vya Ahsubui ambavyo vinahusu mambo sensitive ya nchi .

Mpaka sasa akina Lokole wapo sasa sifikirii Kama lokole awe amefika form four maybe I don't know
Hilo Panga linawapitia wote, bila kujali unafanya vipindi vya aina gani? Maana kina Perfecto wanafanya entertainment na wamepitiwa na hilo panga
 
Haya mapunga ukiyasikia kwenye redio baada ya matokeo yakitangazwa aise yanajifanya yanachambua balaa kumbe mengi form four yalitaga.

Nikikumbuka ya ephrem kibonde nacheka sana. Eti enzi za mgomo wa wanachuo akalopoka kuwa wavulana wa UDSM wamegoma iliwapate hela ya kuhonga.

Aise wajuba wakapita nae wakabandika matokeo yake ya kidato cha nne pale chuoni .Najua hata kaburini alipo kwasasa anawalani wavulana wa UDSM walichomfanyia.
 
Back
Top Bottom