kennedy joshua
Member
- Sep 24, 2014
- 54
- 34
Wanajamvi ni nani muajiri bora Tanzania iwe kampuni au Taasisi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TBL na SBL hawa jamaa wameweza kutoa ajira nchi nzima.Wanajamvi ni nani muajiri bora Tanzania iwe kampuni au Taasisi?
Ajira na VibeTBL na SBL hawa jamaa wameweza kutoa ajira nchi nzima.
So ubora wa mwajir unapimwa kwa wingi wa AjiraTBL na SBL hawa jamaa wameweza kutoa ajira nchi nzima.
Hakika pia na uzuri wa malipoSo ubora wa mwajir unapimwa kwa wingi wa Ajira
Hawa jamaa wanalipa vizur?mazingira yao ya kazi yamekaaje?