Ni kampuni gani nzuri ninayoweza kujifunza masuala ya crypto, kununua na kuuza kwa uhakika?

Joined
Dec 17, 2022
Posts
73
Reaction score
46
Basi usijali ilinichukua mda sana kujifunza na nkafanya uchunguzi ni sehemu gani sahihi ambayo mtu anaweza kununua na kuuza cryptocurrency.

Basi jawabu lenyewe ni coinsmart. Hili ni kampuni linalijihusisha na masuala ya kuuza na kununua crypto lakini pia utaweza kujifunza mengi zaidi.

Ukiwa na jukwaa sahihi,ndivyo jinsi utavyoweza kujikwamua kiuchumi, hivyo hutojutia na kampuni hili. Utanishukuru baadaye.

Baada ya kusign up na kampuni hili utajipatia 20$ /bitcoins za bureeh.Imethibitishwa kampuni hii.
 
Basi usijali ilinichukua mda sana kujifunza na nkafanya uchunguzi ni sehemu gani sahihi ambayo mtu anaweza kununua na kuuza cryptocurrency.
Basi jawabu lenyewe ni coinsmart. Hili ni kampuni linalijihusisha na masuala ya kuuza na kununua crypto lakini pia utaweza kujifunza mengi zaidi.

Ukiwa na jukwaa sahihi,ndivyo jinsi utavyoweza kujikwamua kiuchumi,hivyo hutojutia na kampuni hili.Utanishukuru baadaye.
Baada ya kusign up na kampuni hili utajipatia 20$ /bitcoins za bureeh.Imethibitishwa kampuni hii.
Hivi bado kuna watu wanaibiwa kwa upuuzi wa aina hiyo,, kweli washamba kila siku wanaozaliwa,,!
 
Back
Top Bottom