Aiseeh! Mwana Nissan umeongea kwa uchungu kweliMleta uzi ni mzandiki sana na hasidi mkosa soni. Umeamua kuonyesha chuki zako wazi wazi kwa watumiaji wa magari ya Nissan as if hayapo barabarani?!
Kwahiyo umeweza kuikumbuka Volvo ila Nissan usiikumbuke?! Ama kweli roho mbaya haijengi.....
Sasa naomba utuwekee Logo ya Nissan haraka hapo kwenye list, maana team Nissan tuna shuhuda zetu..... Fanya haraka kabla hatujakufungulia mashitaka ya kudharau brand kubwa kwa uongozi wa JF.
Hizo si ndo tunaskia mnalia nazo service gharama?Mleta uzi ni mzandiki sana na hasidi mkosa soni. Umeamua kuonyesha chuki zako wazi wazi kwa watumiaji wa magari ya Nissan as if hayapo barabarani?!
Kwahiyo umeweza kuikumbuka Volvo ila Nissan usiikumbuke?! Ama kweli roho mbaya haijengi.....
Sasa naomba utuwekee Logo ya Nissan haraka hapo kwenye list, maana team Nissan tuna shuhuda zetu..... Fanya haraka kabla hatujakufungulia mashitaka ya kudharau brand kubwa kwa uongozi wa JF.
Kaniumiza sana kisaikolojia kutusi brand ninayopeperusha bendera yake......Aiseeh! Mwana Nissan umeongea kwa uchungu kweli
Hao ni wale wamiliki wasiojitambua. Kumiliki Nissan ni kama kuwa na mke mwema. Unatakiwa umtunze vema na yeye atakuheshimu na kukutunza vema.Hizo si ndo tunaskia mnalia nazo service gharama?
DualisUna Nissan patrol?
Sio kweli ni ngumu sana. Nimezifuatilia sana. Wanaspare durable, oil yake ni gharama ila inakaa muda mrefu sana, especially ya gear box.Nissan haihimili mikiki kiuhalisia
Ukitafuta ratting Kati ya Nissan na Toyota 90% per 100% watachagua Toyota...siku hizi tunaangalia ease of maintenanceSio kweli ni ngumu sana. Nimezifuatilia sana. Wanaspare durable, oil yake ni gharama ila inakaa muda mrefu sana, especially ya gear box.
So gari ya gharama kwa watu wasio na umakini ila nafuu kwa walio makini.
Hata Xtrail ni gari poa sana ukienda nayo kwa mahitaji yake. Ukienda nayo kama Toyota lazima itakushinda.At least hio sio hizi x trail