Ni kampuni gani unaipenda

Ni kampuni gani unaipenda

Toyota vs Nissan

  • Nissan

    Votes: 4 80.0%
  • Toyota

    Votes: 1 20.0%

  • Total voters
    5

DR SANTOS

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
12,846
Reaction score
28,106
Habari wana jf, nimewaletea shortlist ya kampuni za magari makubwa, mabasi pia magari madogo, sports cars, SUV, na grand cars.

Tujuze je ni gari toka kampun Gan unapendaView attachment 1889011View attachment 1889010View attachment 1889013View attachment 1889012View attachment 1889014View attachment 1889015
Screenshot_2021-08-11-23-50-33.jpg
View attachment 1889017View attachment 1889016
Screenshot_2021-08-11-23-51-13.jpg
Screenshot_2021-08-11-23-54-04.jpg
Screenshot_2021-08-11-23-54-44.jpg
Screenshot_2021-08-11-23-55-14.jpg
Screenshot_2021-08-11-23-56-50.jpg
Screenshot_2021-08-11-23-56-29.jpg
Screenshot_2021-08-11-23-56-04.jpg
 
Mleta uzi ni mzandiki sana na hasidi mkosa soni. Umeamua kuonyesha chuki zako wazi wazi kwa watumiaji wa magari ya Nissan as if hayapo barabarani?!

Kwahiyo umeweza kuikumbuka Volvo ila Nissan usiikumbuke?! Ama kweli roho mbaya haijengi.....

Sasa naomba utuwekee Logo ya Nissan haraka hapo kwenye list, maana team Nissan tuna shuhuda zetu..... Fanya haraka kabla hatujakufungulia mashitaka ya kudharau brand kubwa kwa uongozi wa JF.
 
Aiseeh! Mwana Nissan umeongea kwa uchungu kweli
 
Mleta uzi ni mzandiki sana na hasidi mkosa soni. Umeamua kuonyesha chuki zako wazi wazi kwa watumiaji wa magari ya Nissan as if hayapo barabarani?!

Kwahiyo umeweza kuikumbuka Volvo ila Nissan usiikumbuke?! Ama kweli roho mbaya haijengi.....

Sasa naomba utuwekee Logo ya Nissan haraka hapo kwenye list, maana team Nissan tuna shuhuda zetu..... Fanya haraka kabla hatujakufungulia mashitaka ya kudharau brand kubwa kwa uongozi wa JF.
Hizo si ndo tunaskia mnalia nazo service gharama?
 
Hao ni wale wamiliki wasiojitambua. Kumiliki Nissan ni kama kuwa na mke mwema. Unatakiwa umtunze vema na yeye atakuheshimu na kukutunza vema.
Nissan haihimili mikiki kiuhalisia
 
Siku nikinunua gari cha kwanza ni kumechika humo ndani kwanza. Mama mtoto anajifanya kupinga ila nimemuambia hiyo ni ritual asiposhiriki yeye kuna mwingine atashiriki.
 
Nissan haihimili mikiki kiuhalisia
Sio kweli ni ngumu sana. Nimezifuatilia sana. Wanaspare durable, oil yake ni gharama ila inakaa muda mrefu sana, especially ya gear box.

So gari ya gharama kwa watu wasio na umakini ila nafuu kwa walio makini.
 
Ukitafuta ratting Kati ya Nissan na Toyota 90% per 100% watachagua Toyota...siku hizi tunaangalia ease of maintenance
 
Back
Top Bottom