Nadhani ni ile wanaita ignorance bliss. Mtu anafuata mkumbo wa kununua sababu anatumia taarifa za kuambiwa tu na yeye hafanyi tafiti.Ukitafuta ratting Kati ya Nissan na Toyota 90% per 100% watachagua Toyota...siku hizi tunaangalia ease of maintenance
Angalia ID yangumimi....napendelea sana lamboghin...sijui ndivyo inavyo andikwa...sijawahi kuziona zaidi ya kuziona mtandaoni ila zinanivutia sana
Hhhhh mkuuKuna lile gari walilitengeza veta wakalileta kwenye maonyesho lilukuwa lina logo ya gimbi sijuwi.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Hatari sana bongo kwa uvumbuzi na kujazana ujinga balaaHhhhh mkuu
KIA ni kampun ya ichi gani
[emoji23]Hatari sana bongo kwa uvumbuzi na kujazana ujinga balaa
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app