Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Nadhani ni ile wanaita ignorance bliss. Mtu anafuata mkumbo wa kununua sababu anatumia taarifa za kuambiwa tu na yeye hafanyi tafiti.Ukitafuta ratting Kati ya Nissan na Toyota 90% per 100% watachagua Toyota...siku hizi tunaangalia ease of maintenance