Ni kampuni gani ya air condition gani nzuri na inayo dumu muda mrefu sana?

Ni kampuni gani ya air condition gani nzuri na inayo dumu muda mrefu sana?

kikoozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
2,184
Reaction score
3,221
Habari za muda huu ndugu zangu, mwenye kujua Naomba anipe ABCD, nataka kununua air conditione ila changamoto nimekutana na kampuni za air condition ni nyingi mnoo mpaka zinanichanganya na bei ni tofauti kulingana na kampuni za

Niliitaji kwaajili ya kupooza chumbani tu.

Wenye ujuzi na experience naombeni ushauri wenu

Karibuni
 
Sina uzoefu ila kuna brand ambazo huwa ni premium brand na bei zao pia zimechangamka..

Tafuta brand ambayo waweza kupata guarantee pindi ununuapo
 
Ni Air Conditioner sio Air Condition

Chukua Midea, Gree au Haier kama bajeti ndogo Hisense
 
Aki na Wende mmekuwa wengi,pngoja tuwasaidie.

Top Global AC Brands by Category
    • Best for Energy Efficiency & Innovation: Daikin is a global leader known for advanced inverter technology, high ISEER/SEER ratings, and even-cooling Coanda airflow. [1, 2, 3]
    • Best for Reliability & Cold Climates: Mitsubishi Electric is top-rated for rugged build quality, quiet performance, and heating/cooling efficiency in extreme temperatures. [1, 2]
    • Best for Smart Features & Tech: LG and Samsung stand out for dual-inverter technology, AI-driven efficiency, and smartphone/smart-home integration (including Samsung's Wind-Free cooling). [1, 2]
    • Best for Durability & Heavy Duty: Carrier (pioneer of modern air conditioning) and Trane are renowned for robust commercial and residential build quality. [1, 2]
    • Best for Sales & Market Volume: Midea ranks as the world's largest air conditioner manufacturer and top producer of residential inverter systems. [1]
 
Back
Top Bottom