Nyumbani kwa baba angu kuna AC ya Sanyo ilifungwa miaka 20 iliyopita, inapiga kazi mpaka leo.Sanyo
Upo sahihi, hata kazini kwangu zipo hizo zina miaka 20+Nyumbani kwa baba angu kuna AC ya Sanyo ilifungwa miaka 20 iliyopita, inapiga kazi mpaka leo.
Sanyo ilinunuliwa na Panasonic baada ya hapo ikapoteza brand kimataifa, siku hizi hakuna tena Sanyo ni PanasonicNyumbani kwa baba angu kuna AC ya Sanyo ilifungwa miaka 20 iliyopita, inapiga kazi mpaka leo.
Wajapan huwa wanatengeneza vitu reliable.Sanyo ilinunuliwa na Panasonic baada ya hapo ikapoteza brand kimataifa, siku hizi hakuna tena Sanyo ni Panasonic
InategemeaWajapan huwa wanatengeneza vitu reliable.